About Us
Tunatoa mikopo kwa watumishi wa Serikali, wafanya biashara, watumishi wa mashirika na taasisi binafsi, na wajasiliamali wadogo.
Kuwa kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma iliyo bora nchini Tanzania na inayokidhi mahitaji ya wateja wetu wote.
Ze Done Microfinance itaboresha miundombine yake yote na huduma zake zote ili kuongeza ufanisi katika kukidhi matakwa ya wateja wake wote.
Our Team