Kituo hiki kinalenga kaya zinazotafuta mikopo ili kufadhili uboreshaji mdogo, kama vile useremala, upakaji plasta na kupaka rangi, na uwekaji wa milango, madirisha, sehemu za ulinzi, ukarabati wa sakafu, ukarabati wa paa na vifaa vya usafi.
Kwa kweli, wanufaika wa bidhaa hii watakuwa wamiliki wa nyumba sio wapangaji, kwa hivyo watahitajika kutoa ushahidi wa umiliki, ridhaa ya wanandoa/familia, na vyanzo vya ulipaji.
Sifa za Muombaji
Maelezo/Vipengele Vya Mkopo
Muda wa Mkopo: Mpaka miezi 15
Kiwango Cha Mkopo: Mpaka TZS 5,000,000
Muda wa Marejesho
Marudio ya marejesho yatakuwa ya kila wiki au kila mwezi, inategemea na kipato cha mkopaji
Mahitaji Ya Kuwasilisha Kufanya Tathmini ya Mkopo